Diamond Platnumz afunguka mazito bifu lake na Alikiba.

Kuingia Kwenye Droo Yetu Ya Wasafi WCB Daily, Bonyeza Mshale kama huu


Hatimaye msanii na CEO wa Wasafi Classic Baby'WCB' Diamond Platnumz ameweka wazi kwa mara nyingine kuwa hana ugomvi na msanii Alikiba.

Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 Diamond amefunguka yafuatayo:

>>>’Sijawahi kuwa na matatizo na Alikiba ni chokochoko tu za watu, nina heshimiana naye na nimemfahamu kupitia dada yangu Queen Darleen, nilikutana naye Nairobi tukazungumza naye, Menejimenti yangu pia inajaribu kuongea na wao waje kuuza muziki wao kwetu’

DOWLOAD APP YETU YA WCB DAILY HAPA CHINI

0 Response to "Diamond Platnumz afunguka mazito bifu lake na Alikiba."

Post a Comment