GoodNEWS: Nyingine kutoka WCB ya Diamond Platnumz.

Kuingia Kwenye Droo Yetu Ya Wasafi WCB Daily, Bonyeza Mshale kama huu
Wasafi Classic Baby “WCB” ya Mwimbaji wa Bongo Fleva Diamond Platnumz wameileta Good News kwa kuzindua rasmi mtandao wa wasafi.com ambao utakuwa ni sehemu rasmi ya kujipatia nyimbo za wasanii wa Bongo na nje ya Bongo.

Kwenye mtandao huo kuna njia mbalimbali za kununua nyimbo kupitia account ya simu mfano M-PESA na mitandao yote ya simu Afrika pia kununua kwa njia Card za benki.

Unaweza kubonyeza hapa chini kutazama Ufafanuzi kamili kutoka kwa Diamond…
Tafadhali, Share App Hii Na Marafiki Upate Kuwa Mmoja wa supporters wa muziki wetu. 
Asante kwa kuwa pamoja Nasi.
DOWLOAD APP YETU YA WCB DAILY HAPA CHINI

0 Response to "GoodNEWS: Nyingine kutoka WCB ya Diamond Platnumz."

Post a Comment