Habari njema..!! Msanii wako Rayvanny atajwa kwenye list ya wasanii wa kuangaliwa mwaka huu na Mtvbase

Kuingia Kwenye Droo Yetu Ya Wasafi WCB Daily, Bonyeza Mshale kama huu
                               

Msanii wako pendwa wa WCB Rayvanny anayetamba na ngoma za 'Kwetu' na 'Natafuta Kiki' ametajwa na kituo kikubwa cha muziki barani Afrika Mtvbase kama moja ya wasanii wanaotarajiwa kufanya vizuri sana mwaka huu.
DOWLOAD APP YETU YA WCB DAILY HAPA CHINI

0 Response to "Habari njema..!! Msanii wako Rayvanny atajwa kwenye list ya wasanii wa kuangaliwa mwaka huu na Mtvbase"

Post a Comment