Rais Magufuli alianza kwa kumpongeza Diamond kwa kupata mtoto wa pili akimueleza kuwa wakati wa kampeni alikuwa na mtoto mmoja.
Naye Diamond hakuchelewa kutupa ombi lake akimtaka Rais kuwasaidia wasanii wa Tanzania.
Asante sana nimekusikia,” alisema Rais Magufuli. “Lakini nakupongeza sana kwa kuzidi kuitangaza Tanzania katika masuala ya muziki na nawapongeza wanamuziki wote hata wale wanaogiza nawapenda sana wale, Shilawadu nk, asanteni jamani.”
Sikiliza audio hiyo hapo juu.
DOWLOAD APP YETU YA WCB DAILY HAPA CHINI
0 Response to "SIMU YA MAGUFULI ALIYOONGEA NA DIAMOND PLATNUMZ LEO"
Post a Comment